BALOZI WA KUWAIT AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE - LEKULE

Breaking

5 Sept 2015

BALOZI WA KUWAIT AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE


C
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim Al-Najem kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.
K
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim Al-Najem (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es Salaam leo.

No comments: