Zaidi ya Wafugaji 300 wa CCM Wazichoma Kadi zao na Kuhamia CHADEMA - LEKULE

Breaking

9 Aug 2015

Zaidi ya Wafugaji 300 wa CCM Wazichoma Kadi zao na Kuhamia CHADEMA



Zaidi ya wanachama mia 300 waliokuwa chama cha CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamezichoma kadi zao za CCM na kujiunga na CHADEMA huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa


Mamia ya wanachama walikusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.


No comments: