WIZARA YA AFYA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI JINSI YA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO DAR - LEKULE

Breaking

21 Aug 2015

WIZARA YA AFYA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI JINSI YA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO DAR


Daktari Mwandamizi Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Mary Kitambi akitoa mada jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. 
Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Mtaalamu wa Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wanahabari. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari(hawapo pichani ) jana jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John(kushoto)  akijibu maswali ya wanahabari (hawapo pichani ) jana jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen.
Mkurugenzi Msaidizi huduma ya lishe kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vincent Assey (kushoto) akifafanua kwa wanahabari juu ya umuhimu wa madini joto jana jijini Dar es salaam .Kulia ni Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibimayila.
Mmoja wa waandishi wa habari David John  swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

No comments: