Wema Sepetu na Lowassa ni 'Paka na Chui'......Atoa ONYO Kali Kwa Team Wema - LEKULE

Breaking

11 Aug 2015

Wema Sepetu na Lowassa ni 'Paka na Chui'......Atoa ONYO Kali Kwa Team Wema



Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii jana kupitia mtandao wa Instagram alipost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.
 
Post yake aliipa maneno haya;

“Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema … Please my darlings… kama kuna mtu anatumia account yenye jina langu naomba msimpost Lowassa tafadhal… Kama unashindwa then badili tu jina… 
  
"Dont use my name kumpost Lowassa …. Jamani Iam Not Team Lowassa…. Thank u… CCM tu hapa… TeamMagufuli to death … Nilishasema mi ni CCM Damu Kabisa… Sidanganyiki… UKAWA mtaenda msojielewa…”



No comments: