Rasmi Iren Uwoya kutua Bungeni, apasua viti maalum vijana. - LEKULE

Breaking

16 Aug 2015

Rasmi Iren Uwoya kutua Bungeni, apasua viti maalum vijana.


Mwigizaji Iren Uwoya amefanikiwa kushinda kwa kishindo na ‘kuukwaa’ Ubunge viti maalum Kupitia vijana, katika hatua zote mbili.
Iren alishindwa kuficha furaha yake mbele ya kamera yetu, kwa kueleza kuwa dalili zilionekana tangu Tabora baada ya kupigiwa kura kwa wingi.
“Kuna mtu tulifungana lakini asante mungu nmefanikiwa kupita kamati kuu, so yah nmefanikiwa” alisema Iren.
Katika ‘line’ nyingine, wasanii kadhaa wamejitokeza kumpongeza Uwoya wakidai ni hatua kubwa kwa sanaa yao.

No comments: