Baba Mtoto wa Lil Kim aomba radhi kwa kupost Picha ya Nicki Minaj - LEKULE

Breaking

16 Aug 2015

Baba Mtoto wa Lil Kim aomba radhi kwa kupost Picha ya Nicki Minaj


Ni underground Rapa anayetambulika kwa jina la Mr. Papers ambaye ndiye baba mzazi wa mtoto wa female rapa aliyevuma kipindi cha miaka ya nyuma Lil Kim.
Kwa kutumia akaunt yake instagram Mr Papers ameomba radhi mashabiki wake na wa Baby Mama wake baada ya kupost picha kwenye ya hasimu wa Lil Kim rapa Nicki Minaj.
Mr. Papers alisema “Nilifiri ni jambo la kawaida, lakini baadaye nikagundua nimefanya kosa kubwa kwangu na kwa familia yangu ya Baby Mama wangu, naomba msamaha wenu”.
Hata hivyo wadau mbalimbali walimjia juu Mr. Papers huku wakimshtumu hiyo ni njama waliyoipanga na Lil Kim ili kuibua upya malumbano yaliyofifia baina ya Lil Kim a/k/a Queen B na Nick Minaj a/k/a Barbie.

No comments: