Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Nyumba la Taifa (NHC), Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza jambo na
Rais Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika
mradi wa ujenzi wa nyumba 30 za makazi zinazojengwa na NHC Shangani
mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,Kulia ni Waziri wa
Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM, Dkt John Pombe Magufuli
wakiondoka eneo la tukio mapema leo mchana
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais Dkt
Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa
ujenzi wa nyumba 30za makazi zinazojengwa na NHC Shangani mkoani Mtwara
zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,Kulia ni Waziri wa Ujenzi na
Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli wakiondoka
eneo la tukio mapema leo mchana.
Sehemu kivuko hicho kilichozinduliwa Rais Dkt Jakaya Kikwete mapema leo mkoani Mtwara.
Naibu Waziri wa Fedha
Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Waziri wa Ujenzi Mh.John Pombe
Magufuli kabla ya uzinduzi wa Kivuko cha Mv Mafanikio mkoani Mtwara
mapema leo mchana.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais Jakaya Kikwete kabla ya
uzinduzi wa kivuko cha Mv Mafanikio mkoani Mtwara mapema leo mchana,
kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh.Fatma Salum Ali.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete
akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Fedha,Mh Mwigulu Nchemba ambaye pia
alihudhuria sherehe hizo fupi uzinduzi wa kivuko cha Mv Mafanikio
mkoani Mtwara mapema leo mchana.
Rais Kikwete akizindua
rasmi kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya
safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko cha Mv Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.Kivuko cha MV Mafanikio kina uwezo wa kubeba watu 100 na magari sita,chenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 3.3
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiwa ameambatana Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli mara baada kushuka kwenye kivuko cha Mv Mafanikio katika kata ya Msanga Mkuu-Mtwara vijijini mara baada ya kuzinduliwa na Rais Jakaya Kikwete,kivuko hicho kina uwezo wa kubeba watu 100 na magari sita,chenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 3.3
Rais Dkt.Jakaya Kikwete
akiwapungia mkono wananchi wa Msanga Mkuu-Mtwara vijijini waliofika
kwenye uzinduzi wa kivuko cha MV Mafanikio chenye uwezo wa kubeba watu
100 na magari sita,chenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 3.3
Baadhi ya wananchi wa
Msanga Mkuu-Mtwara vijijini wakishangilia jambo mara baada ya kivuko cha
MV Mafanikio chenye uwezo wa kubeba watu 100 na magari sita,chenye
jumla ya thamani ya shilingi bilioni 3.3 kuzinduliwa na Rais Dkt Jakaya
Kikwete mapema leo mchana mkoani Mtwara.
Waziri wa Ujenzi na Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi,Dkt Jonh Pombe Magufuli akizungumza jambo
mbele ya wananchi wa Msanga Mkuu-Mtwara vijijini baada ya uzinduzi wa
kivuko cha MV Mafanikio chenye uwezo wa kubeba watu 100 na magari
sita,chenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 3.3,Dkt Magufuli
amesema kuwa Rais Jakaya Kikwete katika utawala wake ndani ya maiaka
kumi amefanikiwa kujenga vivuko vipya 15 na vingine 7
vimekwishakarabatiwa na vinafanya kazi mpaka sasa.
Rais Dkt.Jakaya Kikwete
akizungumza jambo mbele ya wananchi wa Msanga Mkuu-Mtwara vijijini
kuzindua kivuko cha MV Mafanikio chenye uwezo wa kubeba watu 100 na
magari sita,chenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 3.3
Bango la mradi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa
NHC,Nehemia Mchechu akizungumza jambo mbele ya mgeni rasmi Rais Dkt
Jakaya Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi kwa
ujumla katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30 za makazi zinazojengwa na
NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4
Rais Jakaya Kikwete akiweka
jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30 za makazi
zinazojengwa na NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi
bilioni 4.4,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu pamoja na Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais
mteule wa chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo.
No comments:
Post a Comment