Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC

Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar (Utawala Bora) Mhe Dk Mwinyihaji Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani Bw. Iddi Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora London
MC wa hafla hiyo ambaye ni Mratibu wa Dawati la Diaspora katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bi Suzana Mzee akiwa kazini
Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora
Mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa na mdau

Wana Diaspora wa London na Maputo

Wadau wa Disapora kutoka kampuni ya simu

Mdau wa Diaspora akichukua taswira ya hafla

Rais Kikwete akihutubia wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania wakimsikiliza Rais Kikwete katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

Rais Kikwete akisisitiza umuhimu wa wana Diaspora kuwekeza nyumbani

Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Wadau wa Diaspora kutoka nchi mbalimbali na Tanzania katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora.

Rais Kikwete akipongezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar (Utawala Bora) Mhe Dk Mwinyihaji Makame, baada ya hotuba

Rais Kikwete akitoa hati kwamwakilishi wa kampuni ya HUWAWEI ambao ni wadhamini wa hafla hiyo

Hati kwa mdau mdhmini

Hati ya udhamini kwa PPF inayopokewa na Bi Lulu

Hati ya udhamini kwa NIC

Hati kwa mdau

Hati kwa mdhamini

Hati kwa mdhamini

Hati kwa Mamlaka ya Bandari

Hati kwa Shirika la Nyumba

Hati kwa mdhamini

Hati kwa Azania Bank

Hati kwa mdhamini

Hati kwa mdhamini toka Coca Cola

Hati kwa mdhamini

Hati kwa mdhamini toka Clouds FM

Hati kwa mdhamini

Hati kwa mdhamini Mkuu

Hati kwa mdhamini mkuu

Hati na pongezi kwa mdhamini mkuu

Salamu toka kwa mdau kijana toka China

Peter Msechu na bendi yake jukwaani

Hafla ilinogeshwa na onesho la mavazi la Kiafrika toka kwa Fabak Fashions

Wanamitindo wa Fabak Fashions

Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo

Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo wake

Rais Kikwete akapata picha za pamoja na wadau

Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora

Rais Kikwete akisalimiana na mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa

Rais Kikwete akisalimiana na mdau wa Diaspora London, Amos Msanjila

Rais Kikwete na mdau kutoka Maputo

Selfie zilikuwepo kama kawa

Selfie na wadau wa Diaspora wa Azania Bank

Rais Kikwete akiwa na wanabendi wa Peter Msechu waliotumbuiza katika hafla hiyo

Rais Kikwete na Asia Idarous-Khamsin na Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC na Waziri Dkt. Mwinyihaji Makame

Rais Kikwete akiongea na watoto na vijana wa Diaspora

Rais Kikwete akiagana na Meneja Mkuu wa Hoteli ya Serena na wasaidizi wake baada ya hafla

No comments:
Post a Comment