Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
*Yajifua uwanja wa Karume kujiandaa kuwasambaratisha wenzao wa Arusha mwezi ujao
*Yajifua uwanja wa Karume kujiandaa kuwasambaratisha wenzao wa Arusha mwezi ujao
Mchungaji wa Kanisa la
Penuel Healing Ministry Ubungo Kibangu, Mch. Alphonce Temba (kulia)
akimramba chenga Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mashariki ya Pwania, George
Fupe, wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume
jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na michezo
kadhaa ya kirafiki kwa ajili ya kuimarisha amani na mshikamano kwa
watanzania.
Ustaadh Saleh (katikati)
akimiliki mpira katikati ya mabeki wa timu pinzani, wakati wa mazoezi ya
timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini yaliyofanyika kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na
michezo kadhaa ya kirafiki kwa ajili ya kuimarisha amani na mshikamano
kwa watanzania.
Shoot on target…..
Kamanda
Mpinga, akishiriki dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya
Amani ya Viongozi wa Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea
kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya
mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha
unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati
yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika
kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.
Kamanda Mpinga, akishiriki
dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa
Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa
Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa
kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia
kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati yao na timu ya
Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji
hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.
Kamanda Mpiga akiwa katika
picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa
Dini ya Mkoa wa Dar es Salaam,baada ya mazoezi ya timu hiyo
yaliyofanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya
mazoezi yao.
Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Kamanda Mpinga,
akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja
wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Hapa ni mapande tu kama Yaya Toure…..
Mchungaji Simon (kulia) akimfinya Ustaadh Saleh. (Picha zote na www.sufianimafoto.com).
No comments:
Post a Comment