Baada ya sauti ya Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, Shilole kayaandika haya - LEKULE

Breaking

5 Aug 2015

Baada ya sauti ya Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, Shilole kayaandika haya

Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye aliingia kwenye headlines baada ya boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda kunaswa kwa sauti akimtongoza mwigizaji Wema Sepetu.
Ilionekana kama baada ya kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao yayumbe au waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilolealithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandikaMi siachani nawe na ntakupenda zaidi’

No comments: