Watoto Wa Van Parsie Nao Wajiunga Fenerbahce - LEKULE

Breaking

25 Jul 2015

Watoto Wa Van Parsie Nao Wajiunga Fenerbahce

Siku chache baada ya mshambuliaji kutoka nchini Uholanzi, Robin van Persie, kuhamishia maisha yake nchini Uturuki kwenye klabu ya Fenerbahce, mambo yanaonekana kuwa shwari kwenye familia ya mchezaji hyo.
Van Parsie ambaye alikua akiitumikia Man Utd kabla ya kufungasha virago na kuelekea Ulaya ya Mashariki, amemvuta mwanae Shaqueel na kumuidhinisha kimkataba kwentye kituo cha kulea na kuendeleza vipaji cha klabu ya Fenerbahce.






No comments: