Magufuli Apata Mapokezi ya Kutisha Kibaigwa - LEKULE

Breaking

24 Jul 2015

Magufuli Apata Mapokezi ya Kutisha Kibaigwa

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kibaigwa, Mkoani Dodoma leo asubuhi , wakati akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Geita.


No comments: