Klabu ya Sonderjyske ya nchini Denmark imempokea mshambuliaji wake mpya
Emmanuel Okwi na kumkabidhi jezi yake namba 25 ambayo alikuwa anaitumia
alipokuwa anacheza Simba.
Okwi hakufanya majaribio katika klabu hiyo kama walivyodai Simba bali amesaini mkataba wa kudumu wa miaka minne kwa dau linalosemekana kuwa dola laki tatu na nusu.

No comments:
Post a Comment