Star wa muziki wa RNB duniani, R.Kelly huenda akashitakiwa na bodi ya
kazi Marekani kama hatomlipa kaka yake fedha ambazo anadaiwa kama ujira
baada ya kazi.
Akizungumza na Hollwood life, kaka yake huyo aliefahamika kwa jina la Bruce Kelly amedai anamdai R. Kelly kiasi cha dola za Kimarekani elfu 11 baada ya kufanya kazi ya kama msaidizi wake kwa miezi 3.
Bruce amesema star huyo aliahidi kumlipa dola 700 kwa wiki, jambo ambalo halijatimizwa tangu aanze kazi mwezi march.
Katika line nyingine Bruce amedai, hiyo ndio sababu iliyomfanya aache kazi pamoja na kuamua kupeleka malalamiko yake kwenye bodi na mamlaka ya waajiriwa nchini humo.

No comments:
Post a Comment