Trace TV kuionesha video ya Chekecha ya Alikiba mara ya kwanza leo - LEKULE

Breaking

29 Jun 2015

Trace TV kuionesha video ya Chekecha ya Alikiba mara ya kwanza leo

 Video ya wimbo wa Alikiba ‘Chekecha Cheketua’, itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha runinga cha Ufaransa, Trace TV Jumatatu hii.

Video hiyo imeongezwa na muongozaji wa video za muziki wa Nigeria, Meji Alabi. Itaoneshwa saa tatu na dakika 32 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki.

No comments: