Nkurunziza akiwa kwenye foleni kwenda kupiga kura yake ya kumchagua mbunge |
Rais Pierre Nkurunziza akiwasili kwenye kituo cha kupiga kura kwa usafiri wa baiskeli |
Rais Nkurunziza akipiga kura yake.
Nkurunziza amewasili katika kituo cha kupigia kura akitumia usafiri wa baiskeli akiwa amesindikizwa na wapambe wake.
Baadaye rais huyo anayetaka kuwania urais kwa muhula wa tatu alijipanga kwenye foleni ili apige kura huku pembeni yake wakiwepo walinzi.
No comments:
Post a Comment