PETR CECH AHAMIA ARSENAL - LEKULE

Breaking

23 Jun 2015

PETR CECH AHAMIA ARSENAL

Ile dili ya Arsenal kwenda kwa Chelsea kumchukua Mlinda Mlango Petr Cech ili msimu ujao aanze kukipiga kwa washika bunduki wa London linaelekea kukamilika. Arsenal wamekubali kutoa kitita cha dola milioni 11 ilikukamilisha usajili huo.
Mashabiki wengi wa Arsenal wameonyesha kufurahishwa na habari hiyo ya usajili wa mlinda mlango huyo lakini wengine wanabaki kujiuliza je mlinda mlango wao David Ospino atakubali kukaa benchi?

No comments: