BAADA YA KUITWA MSALITI NICK MINAJ MAJIBU X BOYFRIEND WAKE - LEKULE

Breaking

12 Jun 2015

BAADA YA KUITWA MSALITI NICK MINAJ MAJIBU X BOYFRIEND WAKE


Female rapper kutokea YMCMB, Nick Minaj amejibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na mpenzi wake wa zamani safaree kuwa bidada huyo ni msaliti wa mapenzi yao.
Safaree Samwel amezungumza hisia zake kupitia ngoma aliyoitoa aliyoipa jina la “love the most”, huku akisisitiza kuchoka na kuhifadhi hisia moyoni ndio maana ameamua kusema ili jamii na dunia itambua usaliti alioufanya Nick Minaj.
Sasa Nick ameamua kujibu shutuma dhidi yake kupitia ukurasa wake wa Twitter, bishost huyo ambaye right now anadate na Meek Mill amesema Safaree inapaswa aeleze ukweli wa mambo aliyokuwa anamtendea kipindi wapo pamoja.
“Lesson: don’t cheat on a loyal woman. God will punish u. When he does, tell people the truth. The truth may set u free. Love. Always,” ameandika post Nick ambayo aliifuta baada ya muda

No comments: