Faiza Ally Awaacha Watu hoi Tuzo za Kill 2015 - LEKULE

Breaking

15 Jun 2015

Faiza Ally Awaacha Watu hoi Tuzo za Kill 2015


Mwanadada faiza ally amezua gumzo kwenye fainali tuzo za Kilimanjaro music Award zilizofanyika usiku wa kuamkia jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Mwanadada huyo alitinga kwenye Red kapeti tuzo za kili akiwa na vazi linao onesha baadhi ya sehemu za makalio zikiwa wazi kama ambavyo anao onekana katika picha hapo chini suala lililozua minong’ono kwa baadhi ya watu ukumbini hapo.

No comments: