Picha ya Waziri Nyalandu Akiwa Amempakata Askari Yafika Bungeni.......Mbunge Nassari akiongelea sakata hilo. - LEKULE

Breaking

16 May 2015

Picha ya Waziri Nyalandu Akiwa Amempakata Askari Yafika Bungeni.......Mbunge Nassari akiongelea sakata hilo.



Waziri Nyalandu akiwa amembeba mmoja wa askari wa kike.

Kitendo hicho kimeonekana kuwakera wabunge ambao wamepaaza sauti na kuhoji uhalali wa waziri kumshika kiuno Askari wa kike....

No comments: