Mheshimiwa Lowassa Awasili Jijini Arusha Kuongoza Harambee ya Ujenzi wa Msikiti wa Patandi - LEKULE

Breaking

15 May 2015

Mheshimiwa Lowassa Awasili Jijini Arusha Kuongoza Harambee ya Ujenzi wa Msikiti wa Patandi



Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akilakiwa na baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu jijini Arusha alipowasili kwa ajili ya kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wa Patandi.

No comments: