Kundi La Vijana Marafiki Wa Lowassa Wafika Kilele Cha Mlima Kilimanjaro - LEKULE

Breaking

12 May 2015

Kundi La Vijana Marafiki Wa Lowassa Wafika Kilele Cha Mlima Kilimanjaro


Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kanda ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo, wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Kundi la Marafiki wa Lowasa wakiwa katika kituo cha Stella, kikiwa ni kituo cha mwisho kuelekea kilele cha Uhuru.

Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata matatizo.

No comments: