Wageni waendelea kushambuliwa A Kusini - LEKULE

Breaking

17 Apr 2015

Wageni waendelea kushambuliwa A Kusini


Usalama umedumishwa kufuatia mashambulizi yaliyowalenga raia wa kigeni ambapo watu watano wameuawa.

Rais Jacob Zua amelaani ghasia hizo na maandamano ya amani mjini Durban siku ya Alhamisi yalihudhuriwa na zaidi ya watu elfu kumi.

No comments: