TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA MAVETERAN WA SOKA WA BARCELONA NA TANZANIA ULIOPIGWA UWANJA WA TAIFA - LEKULE

Breaking

12 Apr 2015

TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA MAVETERAN WA SOKA WA BARCELONA NA TANZANIA ULIOPIGWA UWANJA WA TAIFA


MAGWIJI wa Tanzania wamefungwa magoli 2-1 na Magwiji wa Barcelona katika mechi ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Taifa jioni ya leo.
Bao la kwanza la Barcelona limefungwa na Luis Garcia katika dakika ya 9′ akimalizia mpira wa kona uliochongwa na mkali wao, Mholanzi, Patric Kluivert.
Tanzania walisawazisha dakika ya 44′ kupitia kwa Yusuph Macho.
Barcelona waliandika bao la pili na la ushindi katika dakika ya 86′ kupitia kwa Kluivert aliyefunga kwa mwakwaju wa penalti baada ya beki Mustapha Hoza kumuangusha Kluivert mwenyewe.

No comments: