Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yemen iko katika hatari kubwa ya kuingia katika migogoro, kama ilivyo Syria, Iraq na Libya.
Balozi wa Umoja wa mataifa Nchini YemenJamal Benomar ameuambia mkutano wa dharura wa baraza la usalama la umoja wa mataifa, kuwa waasi wa waislamu washia maarufu Houthi hawawezi kudhibiti taifa zima.
Lakini anasema kuwa Rais aliyetimuliwa mamlakani Abd Rabbuh Mansour Hadi, hawezi kukusanya jeshi la kutosha kuchukua tena uongozi wa taifa hilo.

No comments:
Post a Comment