
Simon Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga ilishinda 3-1.
Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas Makwaya wa JKT Ruvu (kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jana
. Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira.
Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.
Damas Makwaya akimtoka Danny Mrwanda.


No comments:
Post a Comment