VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MSAADA WA UMEME JUA KWA WAHANGA WA MVUA KAHAMA‏ - LEKULE

Breaking

30 Mar 2015

VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MSAADA WA UMEME JUA KWA WAHANGA WA MVUA KAHAMA‏


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga (kulia) akipokea msaada wa Umeme Jua ”Solar Power”kwa niaba ya wahanga wa maafa ya mvua uliotolewa na Vodacom Foundation kutoka kwa Mkuu wa Vodacom kanda ya Tanganyika,George Venanty.

Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya Tanganyika George Venanty(kushoto) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Associate AEG Winnie Nyamubi(kulia) wakielezea matumizi ya Umeme Jua”Solar Power” wakati wakukabidhi msaada huo uliotolewa na Vodacom Foundation kwa wahanga wa maafa ya mvua kwenye kijiji cha mwakata wilayani Kahama Mkoani Shinyanga mwishoni mwa wiki.

No comments: