
Kushoto ni Meneja Mkuu wa Microsoft Afrika Mashariki, Mariam Abdullahi na Meneja Uzalishaji wa Microsoft Afrika Mashariki, King’ori Gitahi wakizindua Microsoft Lumia Smartphones.

Meneja Uzalishaji, King’ori Gitahi akitoa ufafanuzi wa simu hizo kwa wanahabari
Meneja Mkuu wa Microsoft, Mariam Abdullahi akisisitiza jambo kwa wadau na wanahabari (hawapo pichani).




Wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo
wakitazama video ya uzinduzi wa simu hizo.KAMPUNI ya Microsoft kwa mara ya kwanza nchini Tanzania imezindua simu aina ya Lumia Smart.
Uzinduzi huo umefanyika leo katika Ukumbi wa Hyatt Regency, Posta jijini Dar ambapo simu za Lumia 435 na Lumia 532 zilizinduliwa ambazo zinauzwa kati ya shilingi 200,000 hadi 240,000.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na wanahabari pamoja na wadau wa makampuni mbalimbali ya simu za mikononi


No comments:
Post a Comment