IDADI YA WALIOFARIKI KATIKA SHAMBULIO TUNISIA YAFIKIA 23 - LEKULE

Breaking

19 Mar 2015

IDADI YA WALIOFARIKI KATIKA SHAMBULIO TUNISIA YAFIKIA 23

Miili ya baadhi ya watu waliopoteza maisha kwenye shambulio hilo ikifunikwa.





IDADI ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini Tunisia imeongezeka na kufikia 23.

Mwananmke mmoja raia wa Uingereza ameongezeka na kufanya idadi ya watalii waliouawa kwenye shambulio hilo kuwa 18.

Mwananmke huyo ametambulishwa kwa jina la Sally Jane Adey wakati wa mkutano na wanahabari uliofanywa leo na Wizara ya Afya nchini Tunisia
Wananchi wa Tunisia wakiwakumbuka wenzao waliofariki katika shambulio hilo.

Baadhi ya wananchi walionusurika katika shambulio hilo wakielekea eneo salama.




No comments: