Hodgson kuongea ulaji England - LEKULE

Breaking

27 Mar 2015

Hodgson kuongea ulaji England

Shirikisho la kandanda nchini Uingereza limesema lina mpango wa kuwa na mazunguzo na Kocha mkuu wa timu ya England Roy Hodgon mapema mwaka ujao.
Hodgon mwenye miaka 67 alipokea mikoba ya kuifundisha England mwaka 2012 kutoka kwa Fabio Capello lakini timu ikatolewa mapema katika hatua ya makundi kwenye kombe la dunia.

No comments: