Kama mnavyojua tena habari ya MUJINI kwenye tasnia hii ya filamu ni
hii ya Copy and Paste ya Mzee wa Swaga kutoka kwa Ladies VS Ricky Bahl
akutoka Hollywood.
Hili lilipamba moto baada ya mtagazaji Zamaradi Mtetema kuchana wazi wazi kwnye kipindi chake cha TAKE ONE kuwa kampuni ya Jerusalem imefanya kuiga filamu hiyo ya kihindi kwa asilimia karibu zote.
Sasa haya ni baadhi ya maneno na swaga ambazo JB ambae ndio mtunzi, mwongozaji na muigizaji mkuu wa filamu hiyo amekuwa akizitupia mtandaoni.
Alianza usiku wa jana kwa kuandika maneno haya akiwauliza mashabiki wake baada ya kubandika picha hiyo hapo juu akiwa katika pozi kitandani
“Kuna movie nzuri ya kihindi nimeiona leo dah nawaza hapa ni Copy ni Si Copy?”
Hapo komenti zilikuwa copyyyyy huku wachache wakiponda, hakuishia hapo kwani asubuhi akaibuka na kubandika maneno haya;
‘Kama umependa swagga zangu endelea kufurahia.kama umekwazika pole sana,ni vigumu kuwaridhisha wote kama unaona unajua sana tumia makosa yetu kutengeneza yako soko liko wazi hukatazwi, asubuhi imefika twendeni kazini tuache maneno”.
Ikumbukwe kuwa Zamaradi mbali ya kuwa ni mtangazaji ni mutunzi na muaandaaji wa filamu.
Hivi Zamaradi amekosea kusema? Je ni kweli JB ame Copy and Paste? Kama kweli kuna ubaya gani? Mwenye majibu ya haya hebu atusaidie.

No comments:
Post a Comment