Ndege ya Jeshi Yaanguka na kuwaka moto jijini Mwanza.....Rubani Anusurika - LEKULE

Breaking

27 Feb 2015

Ndege ya Jeshi Yaanguka na kuwaka moto jijini Mwanza.....Rubani Anusurika

 Ndege ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kuwaka moto wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.

Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka,  ikashindwa na kuanguka.

No comments: