MBUNGE WA MVOMERO, MH. AMOS MAKALLA ATUMIA BODABODA KUFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE - LEKULE

Breaking

22 Feb 2015

MBUNGE WA MVOMERO, MH. AMOS MAKALLA ATUMIA BODABODA KUFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akiwa amepakiwa kwenye pikipiki (Bodaboda) wakati akielekea kwenye kitongoji cha Ifumbo kilicho kilomita 20 toka kijiji cha Mvomero.

Msafara wa Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla kuelekea kitongoji cha Ifumbo kilicho kilomita 20 toka kijiji cha Mvomero. 

Walifika kwenye kitongoji hicho muda muafaka kabisa na kuandaliwa chai na magimbi.

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akikabidhi baadhi ya vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya kitongoji cha Ifumbo kilicho kilomita 20 toka kijiji cha Mvomero.

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya vijana wa kitongoji cha Ifumbo kilicho kilomita 20 toka kijiji cha Mvomero.


ozi yeyote tangu uhuru.
Mbunge huyo ambaye amesifika na kuweka rekodi ya kutembelea vijiji vyote 130 vya Jimbo lake hilo,aliona umuhimu kuwafikia wananchi na wana CCM wa Ifumbo kwa njia ya pikipiki ili ajionee changamoto na kuchukua hatua stahiki ili kukabiliana nazo.
Makalla alifika kwenye kitongoji hicho cha Ifumba na kulakiwa kwa shangwe na wananchi wa kijiji hicho ambao walifurika kwa wingi kumpokea, na amehaidi kutuma watalaam wa halmashauri wafike na kuiona barabara na kuingiza katika mipango.
Aidha alikagua ujenzi wa shule ya msingi Ifumbo na kuchangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya maendeleo ya ujenzi wa shule hiyo,pia amesaidia timu ya Ifumbo Star jezi na mpira na kuwahamasisha kujiandikisha kwenye daftari la wapigakura pindi litakapoanza.








No comments: