Hii ni ya mwanamke kumkata mpwa wake sehemu zake za siri Ruvuma… - LEKULE

Breaking

22 Feb 2015

Hii ni ya mwanamke kumkata mpwa wake sehemu zake za siri Ruvuma…


Mtu mmoja wa Kijiji cha Majimaji Ruvuma, Patrick Vitus amekatwa sehemu zake za siri  na kuachwa zikining’inia.
Ofisa Mtendaji Wa Kijiji hicho Hussein Mkali amesema Partick alikatwa sehemu zake za siri na mpwa wake Zainabu Saidi baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mume wake anayeitwa Musa Said ambaye alikuwa kwa mke mdogo.
Baada ya kufanya tukio hilo Ofisi ya Kijiji ilimkamata Zainabu na kumpeleka katika kituo cha Polisi, huku Patrick akipelekwa Hospitali ya Tunduru kwa ajili ya matibabu.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania, Feb 21 2015.

No comments: