DIAMOND, ZARI NDANI YA SONGEA - LEKULE

Breaking

1 Feb 2015

DIAMOND, ZARI NDANI YA SONGEA


MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.

No comments: