Staa mwingine wa Bongo aliyekuja na biashara yake mwenyewe. - LEKULE

Breaking

18 Jan 2015

Staa mwingine wa Bongo aliyekuja na biashara yake mwenyewe.

Mafuta ya Nazi ya watoto wadogo yanayouzwa na Dina Marious.


Ray C ambaye Tanzania,Afrika na Dunia tumemjua kupitia muziki sasa ameamua kuja kitofauti mbali na muziki anaoufanya,ameamua kuja na vipodozi vyake.

Vipodozi hivi  ni lotion ambazo ameamua kuja navyo,hii imekua pia kwa Kidoti ambaye amekuja na kandambili(ndala) na Dina Marious ambaye yeye ana mafuta yake anauza ya Nazi kwa ajili ya watoto wadogo.

                                                  Lotion za Ray C.

                                                    ndala za kidoti

No comments: