Nini tena kimemsibu Jacqueline Wolper? Hebu soma alivyofunguka hapa - LEKULE

Breaking

27 Jan 2015

Nini tena kimemsibu Jacqueline Wolper? Hebu soma alivyofunguka hapa



Kupitia kwenye page yake moja ya mtandao maarufu wa kijamii nchini, mwanadada wolper amefunguka haya yafuatayo…


"Maandishi ya uwongoo yananiharibia sana huusianao wangu plz stok na msani yoyote Tanzania wala nyege zangu azimalizwi na msani yoyote Tanzania ninamwanaume wangu namuheshm ananiheshim nasipo kuweka mahusiano yangu adharanii wala mitandaoni Maana nimtu na heshima zake.. nimeumwa na nyoka mara ya kwAnza so ata jani likinigusa ninashtuka kikubwa sina mapenz ya matangazo wala mitandaoni stak kuandikwa kwa lolote lisilolaukweli ..nawewe unaefurah me kuandikwa nawewe ikiwa ukweli unaujua kma niuwongo jua kuwa unaniharbia kwa walinizunguka cc wazazi wangu na Mahusiano yangu ..” Mwisho wa kunukuu


Jamani, kiukweli hatujui Wamemfanya nini Jacquiline Wolper wetu, ila mwenye "ubuyu" kamili wa kilichotokea tunaomba atufahamishe kupia comments hapo chini maana namba ya Jack tunayompigia ili atupe ukweli wa mambo haipatikani…

No comments: