Peter Okoye ambae ni pacha mwenzake na Paul Okoye amezindua record lable yake mwnyewe inayoitwa
P classic Records, na kutangaza kuwa tayari ameshatangaza kum-saini kwenye lebo hiyo msanii anaeitwa Malcoholic Obinna.
Malcoholic ambae jina lake kamili ni Malcolm Obinna Clint Onyenyiri ni Couzin wa Peter Okoye.
Uzinduzi huo wa record label ya Peter na msanii huyo ambae tayari ameshaanza kupost picha kwenye mtandao wa Insta Gram kumtangaza imweaacha mashabiki wengi wakijiuliza kama ndio hatua moja wapo kupelekea kutengana kwa PSquare.
Mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kuwa P Square walikuwa katika hati hati ya kutengana kutokana na tofauti zilizoshindwa kupata muafaka kati ya Peter na Paul ingawa hawakutengana
No comments:
Post a Comment