Alichokiongelea Diamond kuhusu mitandao ya kijamii na kazi zake - LEKULE

Breaking

18 Nov 2014

Alichokiongelea Diamond kuhusu mitandao ya kijamii na kazi zake


Ukiangalia Diamod Platnumz ana wfuasi wengi sana katika mitandao y akijamii ambapo kwa upande wa Instagram pekee ana zaidi ya watu laki mbi na nusu wanaomfata.. 

 Namba hizo sio sifa tu kwa Diamond kuonekana kuwa na wafuasi wengi kuliko msanii yoyote Tanzania bali hutumia mitandao hiyo kuendelea kutangaza kazi zake ndani na nje ya tanzania kwa muwa licha ya kupata sapoti ya kutosha kutoka kwenye media zetu lakini kuna sehemu zingine hazifiki, so hutumia mitandao ya kijamii kujitangaza duniani kote

"Mi nafakiri inakuwa inasaidia sana kwasababu mziki au mwanamuziki ni kama ni biashara so na lazima ujitangaze ukiangalia mitandao hata ya simu kuna bidhaa mbazo sisi tumekuwa tumezikuta  lakini mpaka leo bado zinajitangaza mpaka zingine zinatufata sisi tuziatangaze, haimaanishi sisi ni wakubwa kuliko hizo bidha lakini wanajua umuhimu wa makert so na sisi kama wasanii lazima tuhakikishe tunajitangaza kila dakika, na kiukweli media zetu zinatusapoti sana kutupromote so na sisi pia lazima tujitangaze tupige miguu yote miwili so mtandao kiukweli unasaidia sana sana sana kwasababu kuna sehemu nyingine baadhi ya media zetu hazifiki so zmitandao inakuwa inalift kukusaidia kufika." amesema Diamond.. zaidi msikilize hapa chini

No comments: