Kisa kilichosababisha ugomvi kati ya bondia Mayweather na rapper TI - LEKULE

Breaking

26 May 2014

Kisa kilichosababisha ugomvi kati ya bondia Mayweather na rapper TI




Inasemekana T.I hakuwa na dhamira ya kugombana na Mayweather, watu wake wa karibu wamesema, ila alikasirika sana baada ya kumhisi Mayweather kuwa karibu na mke wake.Tameka "Tinny" Cottle (mke wa T.I) hakuwepo katika eneo la tukio licha ya kuwepo Las Vegas, na saa moja kabla ya kupost picha Instagram akiwa na mtoto wa kike wa Mayweather na kumuita "New boo.Inasemekana T.I alikasirishwa na picha hizo pamoja na zingine alizozituma na kuona kama ni kuvunjiwa heshima hivyo kuamua kukabiliana na Mayweather uso kwa uso.Walipokutana uso kwa uso, T.I alipandwa na hasira zaidi baada ya Floyd kumwambia "Control your bitch" na kuanzisha ugomvi nje ya Fatburfer restaurant Floyd Mayweather hakuwa na wazo la kumteka mke wa T.I na aliwaambia marafiki zake ameshtushwa na rapper huyo kutaka ugomvi nae ....kwasababu alidhani ni marafiki.Mtoa habari wa karibu na Mayweathger amesema amekasirika sana kwasababu ya kupewa tuhuma zisizo za kweli na kuona ni ujinga kwa T.I kumkasirikia...wakati ilikuwa ni uamuzi wa Tinny ku hang out walipokuwa Las Vegas






Mke wa T.I akiwa na motto wa Mayweather

No comments: