- LEKULE

Breaking

2 Apr 2014

WA KWANZA KABISA NI MAMA YANGU MZAZI KWA KUNILEA NA KUNIFUNZA YA DUNIA.NAKUPENDA MAMA,
R.I.P MY LOVELY DAD NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU YA KABURI,i love you dad,R.I.P MY BROTHER FROM ANOTHER MAMA NELSON STEVEN LEKULE.




Shukrani zangu nyingi kwa mke wanhu mtarajiwa Asia Habibu Mkusa kwa kunitunza vizuri na kunielekeza kwa mema na upendo wake kwangu,

Shukrani zangu nyingine ziwafikie popote walipo wakuu wangu katika kazi kwa kunipa wazo la busara na maana kwangu ambalo nitalitekeleza kwa miaka miwili na napenda nitumie nafasi hii kuwaambia nitalitekeleza kwa akili,uelewa,utashi na busara nyingi bila kumkwaza mtu wa aina yeyeote ile.Shukrani nyingine ziwafikie popote pale walipo wafanyakazi wenzangu na yeyote yule anayejua kuwa ana umuhimu kwangu.


No comments: