CHACHU IKICHACHUKA WATU WATATAFUTANA NDIO YANAYOTOKEA SYRIA LEO HII MAPIGANO YAMECHACHAMAA KILA UPANDE;
1.Cha mjinga huliwa na mwerevu
2.Cha mlevi hliwa na mgema.
3.Cha mwovuo huliwa na mwemao.
4.Cha kichwa kitamu na cha mkia kitamu
5.Cha kichwa kitamu,cha kati kitamu na cha mkia kitamu.
6.Chachu ikichachuka watu watatafutana.
7.Chafi rasimali yake matumbo.
8.Chagua dogo katika maovu mawili
9.Chakula ni wali,kiungo ni samli na mke ni mwanamwali
10.Cha ndugu hakiwi cahko sharti upewe.
No comments:
Post a Comment