Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge Mh.William Lukuvi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Krismas litakalofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam,Desemba 25 mwaka huu.Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es Salaam jana na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo Alex Msama inaeleza kuwa Waziri Lukuvi amekubaliwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo litakalokuwa na kiingilio kati ya tsh.5000 na 2000 kwa wakubwa na watoto tsh.2000.Baada ya tamasha hilo kufanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam,siku inayofuata tamasha hilo litafanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro,Desember 28 litafanyika Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga na desemba 29litafanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
19 Dec 2013
New
MH.WILIAM LUKUVI KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA CHRISMAS.
About SOSTENES LEKULE JR
Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment