JUMUIYA YA WAZAZI KUCHUKUA TSH.100,000 YA ADA - LEKULE

Breaking

19 Dec 2013

JUMUIYA YA WAZAZI KUCHUKUA TSH.100,000 YA ADA

Jumuiya ya wazazi Tanzania kuanzia mwakani Januari,itaanza kuchukua tsh100,000 katika ada ya kila mwanafunzi anayesoma katika shule zao ili kuiwezesha jumuiya hiyo kujiendesha.Hivi sasa jumuiya hiyo inachukua tsh30000 za ada kwa mwaka kwa kila mwanafunzi anayesoma katika shule hizo.Naibu katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi Tanzania,GLORIOUS LUOGA alisema hayo kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya uendeshaji wa jumuiya kwa kuwa miradi hiyo haiwanufaishi kwa muda mrefu.

No comments: