RAIS DKT. MAGUFULI AMFUKUZA KAZI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA, MAMA ANNE KILANGO MALECELA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 14 April 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AMFUKUZA KAZI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA, MAMA ANNE KILANGO MALECELA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella, kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo kuwa Mkoa wake hauna wafanyakazi hewa.

Pia amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mkoa huo.

HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE. 
Post a Comment