Hello

Welcome lekule blog

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation.
together in the world. #lekule86
Join us on

BARABARA MBOVU YAWATOA CHOZI WANANCHI WA MNYONZORI/KIBESA.

WAKAZI na wananchi wa vijiji vinavyounda Kata ya Panzuo, wilaya Mkuranga, mkoani Pwani, wameendelea kuililia barabara mbovu inayoanzia Kijiji cha Kimanzichana, hali inayowalazimu akina mama kujifungulia njiani na kuuweka uhai wao rehani.
Mwendesha bodaboda Ramadhan Rajab akijaribu kupita katika barabara mbovu inayotokea Kimanzichana, kuelekea vijiji vya Mnyonzole na Kibesa,wilayani Mkuranga, mkoani Pwani, nauli kwa safari moja wakitoza Sh 20,000 hadi 30,000 kwa safari moja. Nyakati za mvua barabara hiyo haipitiki hali inayozidisha ugumu wa maisha kwa wananchi hao.Vijiji hivyo ni Marui, Kisegese, Mbezi Muungwana, Msanga Visiga, Kibayani na vinginevyo vinavyoitumia barabara hiyo inayopitika wakati wa jua kali na zinapoanza mvua mawawasiliano yao kutoka katika maeneo yao hadi kwenye barabara Kuu ya Lindi Dar es Salaam kukosekana.


Mkazi wa kijiji cha Mnyonzole Kibesa, Cosmas Kisabo, akizungumza jambo kuhusiana na kero kubwa ya barabara wanayokutana nayo wananchi hao, inayaopelekea akina mama wengi kujifungulia njiani, mvua kubwa zinapoanza kunyesha.

Mwandishi wa mtandao huu ametembelea katika maeneo hayo na kujionea hali mbaya ya barabara hiyo ambayo inaweza kuwa chanzo cha kuinua uchumi wa wananchi hao endapo itakarabatiwa japo kwa kiwango cha changarawe ngumu.

Akizungumza jana wilayani hapa, dereva wa bodaboda anayejulikana kama Ramadhan Rajab, alisema kwamba mvua kubwa inaponyesha huwezi kutoka ulipokuwa kwenda sehemu yoyote, kwa sababu barabara inakuwa mbovu.
Mkazi wa kijiji cha Kibesa, Bi Sofia Michael anayejishughulisha na kilimo na biashara ndogo ndogo, akiwa nje ya kibanda chake akizungumza na mtandao huu. Bi Sofia anasema maisha yamekuwa magumu zaidi kutokana na kukosa barabara.

“Watu wa huku tunaishi magumu mno, maana hata sisi wa bodaboda hatuwezi kufanya kazi zetu vizuri ukizingatia kuwa watu wengi wanaoishi mjini wakija kwetu tunawasafirisha katika vijiji hivyo kwa shughuli zao mbalimbali kama vile biashara na kilimo, sasa anapokuta mvua hawezi kwenda popote, zaidi ya kuishia Kimanzichana na kurudi mjini,” alisema Rajab na kuiomba Halmashauri ya wilaya Mkuranga kuichonga barabara hiyo ili kuwafanya wananchi wajivunie kuishi katika maeneo hayo kwa ajili ya kuendelea na maisha yao.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kibesa, Khamis Ningwe akizungumza mtandao huu kutokana na kero kubwa wanazokutana nazo kila siku, ikiwamo barabara mbovu.
Barabara ya Mnyonzole inavyoonekana katika picha.
Barabara ya Mnyonzole inavyoonekana pichani, ikiwa ni siku chache baadaa ya kunyesha mvua kubwa na kusababisha adha kubwa kwa wakazi na wananchi wa maeneo hayo.

Naye mkazi wa kijiji cha Kibesa, aliyejitambulisha kwa jina la Sofia Michael, alisema ingawa kuna maeneo yenye kero kubwa, lakini kwao wamezidi, huku akisisitiza kukosekana kwa barabara hiyo ni sababu ya kuwafanya waishi porini bila msaada wowote na kukosa mahitaji muhimu kama vile chumvi,sukari, dawa na mengineyo.

“Mvua zinaponyesha huku kwetu tunaishi kama wanyama tu, maana hakuna mtu anayeweza kuleta bidhaa zake huku kwa sababu hana sehemu ya kupita, tunabakia kuishi kama watumwa au wafungwa na wakati mwingine mtu kupoteza maisha kwa sababu mbalimbali,yakiwamo magonjwa ambayo ili yapone yanahitaji tiba na tiba yenyewe inakuwa ngumu maana ili tufike hospitalini kunahitajika usafiri na njia yenyewe haipitiki,” alisema.

Mkazi mwingine aliyezungumza na mtandao huu ni Cosmas Kisabo, alisema hali ya maisha katika maeneo yao ni magumu kwa sababu hata wawekezaji wa aina yoyote wanashindwa kwenda kwao kwa kuhofia usafiri,jambo linalohitaji kufanyiwa kazi kwa vitendo na viongozi na wadau kwa kushirikiana na wananchi wa vijiji vyao.

“Tunajua hali ni mbaya kwa watu wengi, lakini sisi huku tumezidi, maana hospitali zipo mbali na hauwezi kufika kwa wakati kutokana na kukosekana barabara, hivyo tunawaomba viongozi wetu watambue na sisi ni watu tunaohitaji maisha, watukarabatie barabara yetu hata kwa kiwango chochote tuone kama na sisi tutasonga mbele kiuchumi,” alisema Kisabo.

Naye mwenyekiti wa kijiji cha Kibesa chenye kitongoji cha Mnyonzole, Khamis Ningwe, alisema kukosekana kwa barabara hiyo kunasababisha maisha yawe magumu, ndio maana hata viongozi wao wa chama na serikali huwatembelea kila mwaka wa Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuwaahidi mambo mengi, ikiwamo barabara yao Kimanzichana hadi Mnyonzole.

“Tumeahidiwa sana,lakini hatuoni mwelekeo mzuri wa kutatuliwa kero zetu na maisha yanazidi kuwa magumu, maana mvua kubwa zinaponyesha, hayo mazao yako uliyovuna kama vile maembe,mananasi na bidhaa nyingine utaziangalia zinavyoshindana kuoza kwa sababu hakuna atakayekuja kuzinunua.

“Kiukweli hali hii tumeichoka kwakuwa inapelekea maisha yetu yanazidi kuwa magumu na changamoto zinakuwa kubwa zaidi, maana mimi kama mwenyekiti wakati mwingine nakutana na shida kubwa ya kusafirisha wagonjwa au wajawazito na kuanza kujiuliza maswali bila kupata jibu la uhakika, chanzo cha hayo ni barabara mbovu,” alisema.Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga ina jimbo moja laUchaguzi, huku mbunge wake kwa sasa akiwa ni Abdallah Ulega, aliyepata nafasi hiyo katikauchaguzi uliofanyika Oktoba mwaka jana.

Share this:

ABOUTME

Hi all. This is deepak from Bthemez. We're providing content for Bold site and we’ve been in internet, social media and affiliate for too long time and its my profession. We are web designer & developer living India! What can I say, we are the best..

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.

Labels

LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC ROBOTICS DIGITAL SEMICONDUCTORS GENERATOR AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING REFERENCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT TRANSDUCER & SENSOR VIDEO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE TEARDOWN SYNCHRONOUS GENERATOR DIGITAL ELECTRONICS ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES AUTOMOTIVE MICROCONTROLLER SOLAR PROTECTION DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES WEARABLES CAMERA TECHNOLOGY COMMUNICATION GENERATION BATTERIES FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE CONTROL SYSTEM NUCLEAR ENERGY SMATRPHONE FILTER`S POWER BIOGAS BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS ENERGY SOURCE PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD BLUETOOTH C PROGRAMMING HOME AUTOMATION HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY COMPUTER DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS USB ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS CONTROL MOTION ELECTRICAL LAWS INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES APPS & SOFTWARE BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RECTIFIER AND CONVERTERS RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS DC MOTOR DRIVES ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS WIRELESS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION INDUSTRIAL DRIVES LAPTOP SCIENCE THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART oscilloscope BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING ELECTROMECHANICAL FEATURED FILTER DESIGN HARDWARE JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER VALVE COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF