Kikao cha kwanza cha kamisheni ya kukabiliana na maafa chakutana Zanzibar

Kikao cha kwanza cha Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar chakutana chini ya mwenyekiti wake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ofisini kwa Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi Seif akikiongoza Kikao cha Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti wake kulia, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Moh’d Aboud Moh’d.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Nd. Ali Juma Hamad aliyesimama akitoa Muhtasari wa Sheria ya Kamisheni hiyo kwenye Kikao cha kwanza Wajumbe wa Kamaisheni hiyo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Kanda ya Zanzibar Nd. Moh’d Khamis Ngwali akitoa ufafanuzi wa muelekeo wa mvuza zinazonyesha za mwezi januari na febuari 2016 kwenye kikao cha kwanza cha Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.

Kikao cha kwanza cha Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar kimeanza rasmi ambapo Wajumbe  wa Kamisheni hiyo wamekutana chini ya Mwenyekiti wake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Kufutwa  kwa Sheria nambari 2 ya mwaka 2003 na kuanzishwa kwa sheria nambari 1 ya mwaka 2015 ya kukabiliana na maafa Zanzibar ndio iliyotoa mamlaka kwa kamisheni hiyo kutekela majukumu yake hapa Nchini.

Akiwasilisha Muhtasari wa sheria ya kukabiliana na maafa Zanzibar kwenye Kikao hicho, Mkurugenzi  Mtendaji wa Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar Nd. Ali Juma Hamad alisema mabadiliko ya sheria hiyo yamekuja kutokana na mapunugu kadhaa yaliyokuwa yakikwamisha utekelezaji wa shughuli za kujikinga na kukabiliana na maafa hapa Zanzibar.

Nd. Juma alisema kukosekana kwa muundo wa usimamizi, mfumo madhubuti wa utoaji wa Taarifa, ushiriki wa sekta binafsi pamoja na mbinu za kujiandaa, kujikinga na kurejesha hali ya kawaida baada ya maafa ni  baadhi ya masuala  yaliyokuwa yakileta usumbufu katika kipindi kilichopita nyuma.

Akitoa ufafanuzi wa Taarifa ya muelekeo wa Mvua mkubwa kwa mwezi wa Januari na Febuari  mwaka  2016  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Kanda ya  Zanzibar  Nd. Moh’d  Khamis Ngwali alisema changamoto za mvua zinazonyesha ni kiashirio kinachoweza kusababisha Mvua za Alninyo.

Nd. Ngwali alisema kwa mujibu wa miongo ya mvua miezi ya Januari na Febuari ni misimu ya vimbunga ambavyo vinaweza kuleta athari wakati wowote na mamlaka hulazimika kutoa tahadhari  pale mvua inapoendelea kunyesha wakati ikipindukia zaidi ya milimita arubaini.

Naye Waziri wa Fedha Zanzibar Mh. Omar Yussuf Mzee  alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imeshaandaa mfuko maalum wa Miundo mbinu        { Infrustructure Fund } ambao huchangiwa  na Kila Mgeni anayeingia Nchini  kwa Dola Moja ya Kimarekani.

Mh. Omar alisema matarajio ya makusanyo ya mkufo huo imekadiriwa kufikia shilingi Bilioni 25 ambapo asilimia 25% ya makusanyo hayo yamelengwa kwa Mifuko saba  iliyosajiliwa akatolea mfano kama ile ya Maafa pamoja na  ukimwi.

Wakichangia katika Mkutano huo  baadhi ya wajumbe wa Kikao walisema bado ipo haja ya kuandaliwa njia mbadala kwa watu wanaoishi katika maeneo hatarishi itakayokuwa ya kudumu katika kudhibiti maafa wakati yanapotokea.

Kuhusu Kikosi cha Zima moto na Uokozi  Zanzibar  Wajumbe hao waliiomba Serikali Kuu kwa kushirikiana na Taasisi za Kitaifa na Kimataifa kukijengea uwezo zaidi wa Vifaa Kikosi hicho ili kiwe na uwezo wa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa zaidi.

Akitoa nasaha zake Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Umoja wa Mataifa tayari umeshatoa onyo la kuziasa Nchi wanachama kuwa tayari kukabiliana na mabadiliko ya tabia Nchi wakati wowote yanapotokea.

Kikao hicho cha kwanza cha Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar kilijumuisha wajumbe  mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wakuu wa Mikoa na Vikosi vya ulinzi pamoja na watendaji wa taasisi zinazohusiana na maafa hapa Nchini.
Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

21/1/2016.
Previous
Next Post »
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Label

KITAIFA NEWS KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI SIASA TECHNICAL ARTICLES f HAPA KAZI TU. LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC DIGITAL ROBOTICS SEMICONDUCTORS MAKALA GENERATOR GALLERY AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING MAGAZETI REFERENCE IOT FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT VIDEO ZANZIBAR YETU TRANSDUCER & SENSOR MITINDO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE SYNCHRONOUS GENERATOR ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES DIGITAL ELECTRONICS AUTOMOTIVE PROTECTION SOLAR TEARDOWN DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS MICROCONTROLLER CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES CAMERA TECHNOLOGY GENERATION WEARABLES BATTERIES COMMUNICATION FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE NUCLEAR ENERGY CONTROL SYSTEM FILTER`S SMATRPHONE BIOGAS POWER TANZIA BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT cartoon CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP ENERGY SOURCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD C PROGRAMMING HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP HOME AUTOMATION INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID COMPUTER ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM BLUETOOTH CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR USB AUDIO BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS ELECTRICAL LAWS HMI[HUMANI INTERFACE MACHINES INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS CONTROL MOTION ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS APPS & SOFTWARE BASIC AC THEORY BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE RECTIFIER AND CONVERTERS SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DC MOTOR DRIVES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION LAPTOP THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART WIRELESS BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING FILTER DESIGN HARDWARE INDUSTRIAL DRIVES JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER SCIENCE VALVE WWE oscilloscope 3D TECHNOLOGIES COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FEATURED FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER MATERIAL PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF