[Audio] Wastara Azungumzia Alivyoinadi CCM na nyumba Zake Kuwekewa Alama "X" - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 8 January 2016

[Audio] Wastara Azungumzia Alivyoinadi CCM na nyumba Zake Kuwekewa Alama "X"

Wastara Juma ni mmoja wa wasanii maarufu wa filamu nchini Tanzania.

Katika audio inayosikika kwenye video iliyopachikwa hapo chini, anazungumzia anazungumzia kuhusu nyumba zake kuwekwa alama ya "X" kwa ajili ya kubomolewa, huku akigusia kujitoa kwake kufanya kampeni ya kukinadi Chama Cha Mapinduzi kiasi cha kuugua.


 
Post a Comment