Picha 7 za Joh Makini, Quick Rocka, Vanessa Mdee, Roma, Shilole, Joti na Flaviana Matata…enzi hizo - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 24 December 2015

Picha 7 za Joh Makini, Quick Rocka, Vanessa Mdee, Roma, Shilole, Joti na Flaviana Matata…enzi hizo

Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita.
MAGAZETI JOH MAKINI 33
.Rapper Joh Makini
.
.Mchekeshaji Joti
.
.Kulia ni Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa kwenye udogo wake
.
.Quick Rocka
.
.Msanii wa Hip Hop Roma Mkatolikikwenye udogo wake
.
.Shilole enzi hizo akiwa Tabora
Vanessa Mdeee
.Vanessa Mdee kwenye udogo wake
Post a Comment