NAMKUBALI SANA MATRIDA TALEWA - LEKULE

Breaking

31 Mar 2014

NAMKUBALI SANA MATRIDA TALEWA




Sio nia yangu kumsifia huyu msichana ila tukubaliane kuwa penye ukweli tuseme huyu msichana anajituma na anajiamini katika maisha ni moja kati ya wasichana ambao kikweli wanajituma.Nawaomba wasichana wengine ambao bado hamjaingia katika maisha ya ndoa mfuate njia zake.Nakukubali sana binti kazana jitume maisha bora kwa kila Mtanzania utayapata.




1 comment:

SOSTENES LEKULE JR said...

Imeandaliwa na kuandikwa Mrs.Lekule(Asia Yussufu